Vifaa vya kufundishia
Kozi ya uchanganuo wa miradi ya nishati safi ya RETScreen ya kimataifa imetengenezwa kwa matumizi na kituo cha kielimu na taariri za mafunzo duniani kote, pia katika kutumiwa na wataalamu na wanafunzi katika "kujisomea" katika mfumo wa elimu ya mbali. Kila kipande cha mafunzo kinaweza kuwekwa katika semina au makongamano tofautitofauti, au kama kitengo cha kozi za chuo. Kwa mchanganyiko, zinaweza kuwekwa kama kozi kamili ya majuma mawili au kozi ndefu ya kipindi kimoja. Pamoja na mafunzo kwa kompyuta, sauti ya mkufunzi na taarifi zinazopatikana, vifaa vya mafunzo vinajumuisha mifano na vitabu vya kihandisi.
Bonyeza hapa ili kupakua bure.
Bonyeza hapa ili kupakua bure.
Teknolojia
Energieeffizienz
- Mfumo wa upozaji
- Mfumo wa upozaji
- Sifa za kiwango cha ujenzi
- Upenyo
- Taa
- Vifaa vya umeme
- Maji moto
- Pampu
- Mafeni
- Mota
- Umeme kwa uzalishaji
- Mchakato wa joto
- Mvuke kwa uzalishaji
- Upotevu wa mvuke
- Urejeshaji wa joto
- Hewa iliyogandamizwa
- Upozaji
- Mengine
- Ufyonzaji
- Mfumo wa bayomasi
- Bwela
- Kompresa
- Kikaushio
- Upozaji wa bure
- Tanuri
- Mashine ya kupitisha joto
- Mengine
- Kikanza cha hewa cha jua
- Kikanza cha maji cha jua
- Hita ya joto la kimiminika
- Seli Chocheo za nishati
- Injini ya gesi
- Injini ya gesi - mizunguko iliyochanganywa
- Nguvu ya jiothemo
- Injini za kusukumwa na maji
- Nguvu ya mkondo wa bahari
- Mengine
- Mwanga kwa umeme
- Injini ya kwenda mbele na nyuma
- Nguvu ya joto la jua
- Injini ya mvuke
- Nguvu za mawimbi
- Nguvu ya mawimbi
- Injini za upepo
- Upashaji joto na nguvu iliyojumuishwa
- Mchanganyiko wa upozaji na nguvu
- Mchanganyiko wa upashaji, nguvu na upozaji
