Natural Resources Canada logo and Government of Canada logo
Symbole du gouvernement du Canada
Kuyapa nguvu Maamuzi ya Nishati safi

Washirika

RETScreen ya kimataifa ina simamiwa chini ya uongozi na msaada wa kifedha wa kituo cha utafiti cha CanmetENERGY cha Rasilimali ya (NRCan) ya Kanada. RETScreen imetengenezwa kwa ushirikiano wa serikali mbalimbali na mashirika ya kimataifa, na msaada wa kitaalamu kutoka katika mtandao mkubwa wa wataalamu kutoka viwandani, serikalini na taasisi za elimu.
  • National Aeronautics & Space Administration's (NASA) Langley Research Center
  • Renewable Energy & Energy Efficiency Partnership (REEEP)
  • United Nations Environment Programme's (UNEP) Energy Unit of the Division of Technology, Industry and Economics (DTIE)
  • Global Environment Facility (GEF) co-financed, UNEP lead Solar and Wind Energy Resource Assessment (SWERA) Programme
  • World Bank's Prototype Carbon Fund (PCF)
  • The Energy + Environment Foundation (EEF)