Natural Resources Canada logo and Government of Canada logo
Symbole du gouvernement du Canada
Kuyapa nguvu Maamuzi ya Nishati safi

Msaada & Wasiliana nasi

Kuendelea kutoa nyenzo bure, RETScreen ya kimataifa inahitaji kuweka gharama chini za moja kwa moja za kutoa msaada kwa wateja. Msaada mdogo unapatikana kwa kupakua mtandaoni, usajili wa mtandaoni na matatizo ya uwekaji wa softiweya. Mara nyingi, tafadhali fuatilia kwenye nyaraka zifuatazo kabla ya kuwasiliana nasi kwa msaada:
Iwapo bado swali lako halijajibiwa baada ya kufuatilia vyanzo hapo juu, unaweza kuwasiliana nasi kwa kujaza fomu ya maswali na maoni ili kupata msaada kwa kiingereza au kifaransa.