Natural Resources Canada logo and Government of Canada logo
Symbole du gouvernement du Canada
Kuyapa nguvu Maamuzi ya Nishati safi
RETScreen International - Usajili
Kujisajili, jaza taarifa hapa chini kisha bonyeza kitufe chini ya ukurasa. Mtumiaji anashauriwa ajisajili vyema ili kituo cha RETScreen kiweze kumtaarifu mtumiaji mara kwa mara kuhusiana na taarifa mpya na matukio, pia ikiweza kutoa taarifa za matumizi ya bidhaa duniani. Serikali ya Kanada na kitengo cha maliasili za kanada kinaheshimu usiri wa taarifa za mtu binafsi ambaye amejisajili katika mtandao wa RETScreen. Kuona muhtasari wa sera za usiri za mtandao wa kitengo cha maliasili cha Kanada bonyeza hapa. Iwapo utapata ugumu wowote katika kutumia fomu hii, tafadhali wasiliana nasi.Kuwezeha mawasiliano mtumiaji akamilishe kwanza taarifa hapa chini na kuzituma kwenye kituo cha RETScreen kwa barua pepe au FAKSI.

 
 



Zingatia: Wakati wa kujisajili au kujitambulisha kwa mara ya kwanza katika mtandao wa kituo cha msaada na maamuzi cha RETScreen ya kimataifa, RETScreen inaweka "cookies"; kuwezesha ushughulikiaji wa taarifa zako. Cookies ni mafaili yanayowekwa kwenye mashine ya kompyuta yako. Kwa mfano, wakati mwingine utakapotembelea mtandao cookies zitakuwezesha kupata fursa ya maeneo mbalimbali ya mtandao bila ya kujisajili au kujitambilisha tena.