Natural Resources Canada logo and Government of Canada logo
Symbole du gouvernement du Canada
Kuyapa nguvu Maamuzi ya Nishati safi

Programu na taarifa Kozi ya Mafunzo Mifano halisia
Softiweya ya uchanganuo wa RETScreen ya kimataifa ya nishati miradi ya nishati safi ni nyenzo ya pekee ya kusaidia kufanya maamuzi kwa mchango wa wataalamu wengi kutoka serikalini, viwandani, na taasisi za elimu. Softiweya inayotolewa bure, inaweza kutumika dunia nzima kutathmini akiba ya uzalishaji wa nishati, gharama za munguko wa maisha, upunguzaji wa ntoaji hewa chafu, hali ya kifedha na vihatarishi vya mradi kwa aina mbalimbali za teknolojia za nishati za kujadidika na ufanisi wa nishati. Softiweya pia inajumuisha bidhaa, gharama na taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa na kitabu cha maelezo kwa mtumiaji.

Mahitaji ya Softiweya na Taarifa: Microsoft® Excel 2000 au ya juu zaidi; Microsoft® Windows 2000 au ya juu zaisi; na Microsoft .NET Framework 2.0 au ya juu zaidi. Tafadhali hakikisha kuwa unapata taarifa za sasa kutoka (www.microsoft.com) kwa Windows na Excel zimewekwa katika kompyuta yako.

Mahitaji ya Kitabu cha mwongozo cha mtumiaji na cha uhandisi cha mtandaoni: Adobe Acrobat Reader 5.0.5 au ya juu zaidi.
Toleo 4 Mpya 43.6 MB         Kupakua faili
12.7 MB
Toleo 3            
  Utangulizi               Kupakua faili
2.6 MB
  Kawi ya Mawimbi Ver. 3.2   Kupakua faili
1.5 MB   Kupakua faili
0.9 MB   Kupakua faili
0.6 MB
  Haidro Ndogo Ver. 3.2   Kupakua faili
2.4 MB   Kupakua faili
1.1 MB   Kupakua faili
1.3 MB
  Volti-kawi angavu Ver. 3.2   Kupakua faili
1.7 MB   Kupakua faili
0.8 MB   Kupakua faili
0.7 MB
  Joto na Umeme uliyochanganywa Ver. 3.6   Kupakua faili
7.7 MB   Kupakua faili
4.5 MB    
  Upashajijoto wa Viumbe hai Ver. 3.1   Kupakua faili
1.7 MB   Kupakua faili
1.0 MB   Kupakua faili
1.1 MB
  Upashajijoto Hewa ya Sola Ver. 3.1   Kupakua faili
1.5 MB   Kupakua faili
0.9 MB   Kupakua faili
1.2 MB
  Upashajijoto Maji ya Sola Ver. 3.1   Kupakua faili
2.1 MB   Kupakua faili
0.8 MB   Kupakua faili
1.6 MB
  Upashajijoto Sola Baridi Ver. 3.1   Kupakua faili
1.9 MB   Kupakua faili
0.8 MB   Kupakua faili
1.1 MB
  Mashine ya kupitisha joto la ardhini Ver. 3.1   Kupakua faili
2.1 MB   Kupakua faili
0.7 MB   Kupakua faili
2.3 MB
  Viwanja na Maduka kuu Beta Ver.   Kupakua faili
4.8 MB        
    OPA Ver.   Kupakua faili
0.3 MB   Kupakua faili
0.6 MB    
Faili linapatikana kwa lugha ya kiingereza pekee   Faili linapatikana kwa lugha ya kiingereza pekee