| Programu na taarifa | Kozi ya Mafunzo | Mifano halisia |
|---|
Kozi ya uchanganuo wa miradi ya nishati safi ya RETScreen ya kimataifa imetengenezwa kwa matumizi na vituo vya kielimu na taariri za mafunzo duniani kote, pia katika kutumiwa na wataalamu na wanafunzi katika "kujisomea" katika mfumo wa elimu ya mbali. Kila somo linaweza kutolewa kama semina au kongamano la peke yake au kama kitengo cha kozi ya chuo. Kwa ujumla, zinaweza kutolewa kama kozi kamili ya majuma mawili au kama kozi ya muhula mmoja. Pamoja na matumizi ya kompyuta kuwasilisha masomo, sauti ya muongozaji na maandiko yaliyopo chini, vifaa vya ufundishaji vinajumuisha mkusanyiko wa uchunguzi kifani na vitabu vya uhandisi (tazama nembo zingine hapo juu).
Mahitaji ya Slaidi za Maonyesho: Microsoft PowerPoint au juu zaidi. Mahitaji ya Sauti na Slaidi: kivinjari kilichowezeshwa mweka (k.m. Internet Explorer 5.0 au juu zaidi, Netscape Navigator 4.06 na 6.0 au zaidi) au kicheza Mweka cha Shockwave (toleo la 6.0 au juu zaidi).
Mahitaji ya Matini ya Mnenaji: Adobe Acrobat Reader 5.0.5 au juu zaidi.

| Toleo 4 |
|
| Utangulizi |
|
Faili linapatikana kwa lugha ya kiingereza pekee 