Programu na taarifa
Katika toleo la 4 la RETScreen, uwezo wa softiweya umepanuliwa kutoka nishati za kujadidika, kojeneresheni na nishati ya eneo, kujumuisha masuala ya fedha ya nishati safi, teknolojia za upashaji joro na upozaji, na hatua za ufanisi wa nishati. Makubaliano ya kimataifa ya nyenzo hii ya msaada imeboreshwa kwa kupanua taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa, inayotakiwa na nyenzo, kwa eneo lote la uso wa dunia, ikijumuisha gridi kuu, grid iliyojitenga na na maeneo ya mbali, pia kupitia utafsiri wa softiweya katika lugha 35 kwa makadirio ya 2/3 ya idadi ya watu duniani kote.
Matokeo makuu ya juhudi hizi za maana ni kama ifuatavyo:
Tafuta kwa:
Hatua tano za uchanganuo wa kiwango
Anza
Model ya nishati
Usanifu wa mzigo na mtandao wa
Uchanganuo wa gharama wa
Uchanganuo wa utoaji wa hewa chafu wa
Mchanganuo wa masuala ya fedha
Uchanganuo wa Umakini na Uhatari wa
Nyenzo za
Taarifa za bidhaa
Data ya hali ya hewa
Taarifa za hydrolojia
Hifadhidata ya mradi
Ramani za rasilimali za nishati
Matokeo makuu ya juhudi hizi za maana ni kama ifuatavyo:
- Uendelezaji wa model mpya ya kutathmini hatia za ufanisi wa nishati katika majengo ya makazi, biashara na taasisi; na mitambo ya viwandani na uzalishaji.
- Upanuzi wa taarifa za hali yahewa za RETScreen katika vituo 4,700 duniani kote na ikishirikiana na kituo cha hali ya hewa na nishati ya jua cha NASA katika maeneo yanayokaliwa na watu wengi, inaingizwa moja kwa moja katika programu ya RETScreen.
- Kuunganisha RETScreen iliyopo kwa mwatumizi ya nishati za kujadidika (k.m. nishati ya upepo) na mchanganyiko wa joto na nguvu, pamoja na model mpya ya hatua za ufanisi wa nishati, vyote katika faili moja la softiweya, na upanuzi wa uwezo wa model iliyopo na kutathmini teknolojia inayojitokeza, kama vile nguvu za mkondo wa bahari na mawimbi.
- Utafsiri wa programu moja yenye vitu vingi katika faili moja na taarifa katika lugha 35 (k.m. Kichina, Kifaransa, Kijerumani, Kihindi, Kiitalia, Kijapani, Kireno, Kirusi, Kihispania, nk.).
- Usambazaji mpana wa nyenzo kupitia mtandao wa RETScreen, kwa walengwa wa mafunzo na usambazaji wa mtandao wa kimataifa wa washirika wa RETScreen and washirika wengine.
Tafuta kwa:
Hatua tano za uchanganuo wa kiwango
Anza
Model ya nishati
Usanifu wa mzigo na mtandao wa
Uchanganuo wa gharama wa
Uchanganuo wa utoaji wa hewa chafu wa
Mchanganuo wa masuala ya fedha
Uchanganuo wa Umakini na Uhatari wa
Nyenzo za
Taarifa za bidhaa
Data ya hali ya hewa
Taarifa za hydrolojia
Hifadhidata ya mradi
Ramani za rasilimali za nishati
